Home » » KAMPUNI YA SIMU YA TTCL INAONGOZA KWA KUTOA HUDUMA ZA INTANET BORA NA ZA UHAKIKA

KAMPUNI YA SIMU YA TTCL INAONGOZA KWA KUTOA HUDUMA ZA INTANET BORA NA ZA UHAKIKA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kwa sasa, juhudi za Rais Dkt. Magufuli kufufua huduma bora na za uhakika katika Mashirika na Makampuni ya Umma zinazidi kuleta *Matokeo chanyA+* Kampuni Simu ya TANZANIA -TTCL ndiyo kampuni pekee inaongoza kwa sasa kwa kutoa huduma za intanet bora na za uhakika. Rais wangu... *mzalendo na mchapakazi..* Nchi yangu... *Matokeo chanyA+*

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa