| Hapa akielekea kuweka kigogo kwenye ndege ushauri wetu matukiodaimaBlog kwanza kwa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Singida kulitazama suala hili la kiusalama kwa jicho la tatu kwani hatuombi jambo basi kutokea ila ni vema kinga kuliko tiba ,pili uongozi wa kiwanja hicho cha ndege kuongeza wafanyakazi na hata kuomba gari la kisasa katika uwanja huo , tatu wizara husika kulitazama hili na mwisho uongozi wa viwanja vya ndege nchini kutoka ofisini na kuzungukia viwanja vyote kikiwemo hiki cha Singida kuangalia changamoto zake vinginevyo hili ni jipu sasa ni nani wa kujitolea kulitumbua ? |
No comments:
Post a Comment