Mkuu wa mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, amewahimiza watumishi wa umma hasa wa ngazi ya Vijiji na Kata kuwajibika na
kutimiza vyema majukumu yao kwani wao wako karibu zaidi na Wananchi,
ili kutimiza adhma ya Serikali ya awamu ya tano ya kumpunguzia kama si
kumuondolea kabisa kero zinazozuilika Mwananchi wa kawaida.
No comments:
Post a Comment