Mkurugenzi
Mtendaji (Group Excutive Director) kampuni ya Mount Meru Millers, Atul
Mittal (kushoto) akimwonyesha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mashudu ya
alizeti yanayonunuliwa na kampuni ya Mount Meru tawi la Singida na
kusangwa upya na kutoa mafuta ya kutosha.
No comments:
Post a Comment