MAONESHO YA UTALII YA SANGANAI/HLANGANANI–(WORLD TOURISM EXPO) ZIMBABWE YAFUMBUA MACHO WATANZANIA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Pichani juu na chini ni Afisa Habari Mwandamizi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Esther Solomon (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali za utalii na vivutio vyake nchini Tanzania kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikiwemo vya utalii nchini Zimbabwe waliofika katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Utalii Sanganai/Hlanganani–(World Tourism Expo) kupata taarifa mbalimbali za vivutio vya utalii wa Tanzania yaliyomalizika jana jijini Harare katika ukumbi wa hoteli ya Rainbow...

MINYUKANO YA UCHAGUZI TANGU 1958

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Hayati Mwalimu Julius Nyerere Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepanga Oktoba 25 mwaka huu kuwa siku ambayo Watanzania watakuwa wanapiga kura kuwachagua viongozi wapya katika nafasi za udiwani, ubunge na urais. Historia inaonyesha kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa 14 tangu nchi ianze kuwa na mfumo wa kuchagua viongozi wake. Hata hivyo, tofauti na chaguzi zingine, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na changamoto mpya kwa chama tawala CCM, kutokana na kuwa vyama vinne vya upinzani; Chadema, CUF, NLD na NCCR-Mageuzi,...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa