Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mhashamu Baba Askofu Jimbo Katoliki Singida,Edward Mapunda akiongoza misa ya ibada ya maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 tangu kuzaliwa kwa Parokia ya Kupaa Bwana Manyoni iliyofanyika katika viwanja vya kanisa hilo mjini Manyoni.
Na Jumbe Ismailly, MANYONI.
MHASHAMU Baba Askofu Jimbo Katoliki Singida,Edward Mapunda amewataka waumini wa madhehebu hayo kuondokana na tabia ya kutegemea wafadhili wakati wa utekelezaji na ukamilishaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo na kuwataka watambue kuwa bwana bure...
RC NCHIMBI AAGIZA KUVUNJWA KWA BODI YA USHIRIKA MSAI WILAYANI IRAMBA, NDANI YA WIKI MBILI.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Mkoa wa
Singida Dkt Rehema Nchimbi akiwaelekeza wakulima wa pamba kijiji cha Msai
wilayani Iramba, vipimo vya kati ya tuta na tuta, shimo na shimo kwa kutumia
kamba na vijiti ili waweze kupanda kitaalamu na kuvuna kwa wingi.
Wakulima wa pamba
kijiji cha Msai wilayani Iramba, wakishiriki kwa vitendo mafunzo yya kupima
urefu kati ya tuta na tuta, shimo na shimo kwa kutumia kamba na vijiti ili
waweze kupanda kitaalamu na kuvuna kwa wingi.
Katibu Tawala Wilaya
ya Iramba Pius Songoma akishiriki...
DC MTATURU AWATAKA WANANCHI KUHIFADHI FEDHA ZAO BENKI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne
Mtaturu akizungumza wakati
akifungua wiki ya Huduma kwa mteja katika Benki ya NMB Tawi la Ikungi lililopo
Wilayani humo Mkoani Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne
Mtaturu akizungumza wakati
akifungua wiki ya Huduma kwa mteja katika Benki ya NMB Tawi la Ikungi lililopo
Wilayani humo Mkoani Singida.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Tawi la Ikungi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne
Mtaturu wakati wa ufunguzi...
MAANDALIZI YA UTAFITI WA MAFUTA ZIWA EYASI, TANGANYIKA YAANZA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Dkt. Medard Kalemani, (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha
wataalam kutoka Uganda, Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini,
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Mamlaka ua
Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA) kabla ya kuanza
ziara katika Ziwa Eyas Wembere lililopo mkoani Singida.
Wataalam kutoka , Idara ya
Nishati, Wizara ya Nishati na ...