SINGIDA WAASWA KUTEKELEZA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI KWA WELEDI

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki watakao husika na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Singida Vijijini mkoani Singida na kuzungumza nao wakati wa mafunzo yao ya siku mbili yaliyoanza leo Septemba 22 na kumalizika kesho Septemba 23, 2022.Akizungumza na Waandishi hao Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki Dkt Zakia aliwataka kuzingatia mafunzo wanayopewa, dhamana waliyopewa ya kuendesha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa weledi. Mafunzo hayo ni maandalizi...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa