Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba
Serikali imebuni utaratibu wa kuchangisha fedha za ujenzi wa maabara kwa kuwachangisha walimu na watumishi wengine wa umma.
Zoezi hilo linatekelezwa na wakurugenzi watendaji wa halmashauri nchini,
ambao baadhi wameandika barua kwa waratibu elimu wa kata kutekeleza
uchangishaji huo na kuwasilisha fedha hizo kwenye halmashauri.
Kwa mujibu wa barua ya Septemba 15, mwaka huu, kutoka moja ya
halmashauri nchini (jina limehifadhiwa) kwenda kwa waratibu...
AFYA YA UZAZI: NAMNA YA KUCHUNGUZA HATUA ZA KUJIFUNGUA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Moja ya malengo ya milenia ni kupunguza kama si kuondoa kabisa
vifo vya kinamama na watoto vitokanavyo na ujauzito, wakati wa
kujifungua na wakati wa kulea.
Hili litawezekana tu iwapo kutakuwepo na huduma bora zitakazohakikisha uwepo wa uzazi salama.
Zipo sababu nyingi zinazochangia vifo vya uzazi lakini vingi vinasababishwa na uzingatiaji dhaifu wa muongozo wa uzazi salama.
Mwongozo uliotayarishwa na Wizara...