
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa ya Krismasi katika
Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida. Hapa wakiwa katika sala. Rais Magufuli na mkewe wakisilkiliza neno
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la
Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya
Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...