Zoezi linaloendelea la wateja wa NMB tawi la Singida limesababisha foleni kubwa kitendo kinachochangia wateja kupoteza muda mwingi kuwasilisha taarifa zao mpya. Hata hivyo wateja wa NMB walipewa takribani mwaka mzima kuhuisha taarifa zao lakini wengi wamesubiri hadi tarahe ya mwisho kukamilisha zoezi hilo. (Picha na Nathaniel Limu).Picha Zote kwa Hisani ya MO B...
KIBAKA ANAYETUHUMIWA KUIBA SIMU AKILA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.

Kijana anayedhaniwa kuwa ni kibaka katika eneo la soko kuu mjini Singida, akisulubiwa kwa kupigwa na mateke na mawe baada ya kutuhumiwa kumwibia simu ya mkononi msichana (kulia) anayemshikilia.
Kijana huyo akipaa baada ya kupigwa ‘mtama’ kwa tuhuma ya kukwapua simu ya mkononi ya msichana (wa pili kulia).
Picha Na Singida Yet...
Raia wa Rwanda apoteza maisha katika ajali ya gari mkoani Singida.

Gari aina ya nissan presage axis C.6017 A, mali ya Abbakari Bakudikiza (32) raia wa Rwanda baada ya kupata ajali kwenye kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida na kupelekea Abbakari kufariki dunia papo hapo. Gari hilo lilikuwa likiendeshwa na mke wake raia wa Sweden Videl Ruze ambaye alipata majeraha kichwani na amelazwa hospital ya mkoa na hali yake inaendelea vizuri. Wanandoa hao ambao wameoana miezi sita iliyopita, walikuwa wakitoa Dar-es-salaam kuelekea Rwanda.
Mwanaume raia wa Rwanda Abbukari Bakudukiza (32) amefariki dunia hapo hapo, baada ya gari walilokuwa wakisafiria na mke wake kupata ajali. Ajali hiyo imetokea baada...
Watatu wapoteza maisha mkoani Singida katika ajali ya basi kutokana na uzembe wa dereva na mwendo kasi.
Abiria mmoja raia wa nchini China, ambaye jina lake halikufahamika mara moja ambaye amevunjika mguu wa kushoto akipewa huduma za matibabu mara baada ya ajali ya basi la Green star lililogonga lori la mbao katika eneo la kijiji cha Isuna wilaya ya Ikungi.Baadhi ya majeruhi wakiwa nje ya maabara ya hospitali ya mkoa wa Singida,wakisubiri kupata matibabu.Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida,wakiwa nje ya maabara ya hospitali ya mkoa,kuwaona majeruhi wa ajali ya basi la Green star iliyotokea jana (10/3/2013) katika kijiji cha Isuna wilaya ya Ikungi.(Picha na Nathaniel Limu).Watu watatu wamefariki dunia baada ya basi T.939 BRA aina ya Yutong, lililokuwa...