Home » » KIBAKA ANAYETUHUMIWA KUIBA SIMU AKILA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.

KIBAKA ANAYETUHUMIWA KUIBA SIMU AKILA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.


 Kijana anayedhaniwa kuwa ni kibaka katika eneo la soko kuu mjini Singida, akisulubiwa kwa kupigwa na mateke na mawe baada ya kutuhumiwa kumwibia simu ya mkononi msichana (kulia) anayemshikilia.
Kijana huyo akipaa baada ya kupigwa ‘mtama’ kwa tuhuma ya kukwapua simu ya mkononi ya msichana (wa pili kulia).
Picha Na Singida Yetu

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa