Home » » Zoezi la kuhuisha taarifa za benki NMB Singida lazorotesha shughuli za uzalishaji.

Zoezi la kuhuisha taarifa za benki NMB Singida lazorotesha shughuli za uzalishaji.


Zoezi linaloendelea la wateja wa NMB tawi la Singida limesababisha foleni kubwa kitendo kinachochangia wateja kupoteza muda mwingi kuwasilisha taarifa zao mpya. Hata hivyo wateja wa NMB walipewa takribani mwaka mzima kuhuisha taarifa zao lakini wengi wamesubiri hadi tarahe ya mwisho kukamilisha zoezi hilo. (Picha na Nathaniel Limu).
Picha Zote kwa Hisani ya MO BLOG

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa