
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT –
Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa
Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida
Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56). Baba mzazi wa Anna
alikuwa diwani na kiongozi wa Tanu kabla ya CCM hadi mwaka 1985, mama
yake alijishughulisha na kilimo na ufugaji na wazazi hawa kwa ujumla
walipata watoto tisa, akiwamo Anna.Mgwira alianza safari ya
kielimu katika Shule ya Msingi...