Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015” #FAPOY2015
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”
"I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes here: http://t.co/8mPEDbghsB...
MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UMEME UNAOTUMIA NGUVU YA UPEPO MKOANI SINGIDA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi kwenye ghafla ya uwekaji
wa jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo Mkoani
Singida, ghafla hiyo ilifanyika jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo
Unyamikumbi Mkoani Singida.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi
wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji...
MAGUFULI AMSHAWISHI MO KUJENGA KIWANDA SINGIDA ILI KUTOA FURSA YA AJIRA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea
urais kupitia tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akimwaga sifa kwa
aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Mjini (Mbunge Mstaafu), Mohamed
Dewji baada ya kutumikia vyema na kwa uadilifu kiti chake cha Ubunge
jimboni humo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea urais huyo kwa
tiketi ya CCM uliofanyika katika viwanja wa Peoples mjini humo.
Na Nathaniel Limu, Singida
MGOMBEA
urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli,amemshawishi aliyekuwa mbunge
wa jimbo la Singida mjini Mohammed Dewji,kujenga kiwanda...
DK MAGUFULI AFANYA KWELI SINGIDA MJINI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Peoples, mjini Singida jana, ambapo alilisitiza kwamba akishinda urais ataongeza ajira kwa vijana kwa kuwapa mikopo ya mitaji ya kuanzishia miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi.NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwahesabia kupiga Push Up wagombea ubunge Mwiguru Nchemba wa Iramba (kulia), Musa Sima (katikati) wa Singida...