Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi kwenye ghafla ya uwekaji
wa jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo Mkoani
Singida, ghafla hiyo ilifanyika jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo
Unyamikumbi Mkoani Singida.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi
wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani
Singida jana Oct 06, 2015
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na baadhi ya wawekezaji wa kampuni ya Wind East
Africa Group inayozalisha umeme unaotumia nguvu za upepo baada ya kuweka
jiwe la msingi uzinduzi wa mradi huo jana Oct 06, 2015 katika kijiji
cha Irawo Inyamikumi Mkoani Singida. (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kati kati akiwa katika picha ya
pamoja na watendaji wa kampuni ya Wind East Afrika Group wakati wa ghafla ya
uwekaji jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo
katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana Oct 06,2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti kwenye eneo la uwekezaji
wa mradi wa kuzalisha umeme kwa njia ya upepo katika kijiji cha Irawo
Inyamikumi Mkoani Singida baada ya kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi huo
jana Oct 06,2015
0 comments:
Post a Comment