Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone alipomtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake jana mjini Singida.
Na Modewjiblog team, Singida
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa...
MO APATA TUZO NYINGINE, ADHIHIRISHA TAMAA YA KUWATUMIKIA WATANZANIA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akitembea kwenye 'Red Carpet' mara baada ya kuwasili katika hotel ya Hilton Sandton jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye hafla ya utoaji tuzo iliyoandaliwa na jarida maarufu la Forbes na kutunukiwa tuzo ya "Forbes Africa Person Of the Year 2015".(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Modewjiblog team
MFANYABIASHARA na mtu mwenye taasisi ya kusaidia jamii, Mohammed Dewji maarufu kama Mo ametunukiwa tuzo...
MUULIZE MO!: TUANDIKIE MASWALI YAKO KUMUULIZA MOHAMMED DEWJI (CEO WA METL GROUP) TUTAKUWA NA MAHOJIANO NAYE HIVI KARIBUNI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Msomaji na mdau wa mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unakupa nafasi wewe kumuuliza maswali/swali lolote lile Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL Group, Mohammed Dewji. Maswali yote yatajibiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina. Tutakuwa na mahojiano naye karibuni. Asanteni sana.
Utaratibu wa kumuuliza maswali ni kwa kukomenti kwenye post hii kisanduku cha maoni, Zingatia Kanuni na sheria ikiwemo kutotumia lugha zisizo rasmi.
Pia waweza kutoa maoni yako kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ukiwemo ukurasa wa Mohammed...
Polisi Singida yapiga marufuku maandamao ya UKAWA kupinga ushindi wa Rais mteule Dk. Magufuli
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kamanda
wa Jeshi la Polisi Mkoani Singida, Thobias Sedoyeka akizungumza na
waandishi wa habari juu ya kupinga maandamano ya vyama vinavyounda
Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupinga matokeo ya tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) kumtangaza Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli.
Na Hillary Shoo, SINGIDA
JESHI
la polisi Mkoani Singida limepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa
kuandaliwa na kufanyika chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi...
TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mtoto
Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana
tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana
kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi
wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili
wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi
Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe
Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa
atakayeguswa tunaomba...