Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mtoto
 Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana 
tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana
 kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi
 wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili 
wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi 
Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe
 Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa 
atakayeguswa tunaomba utume mchango wako kwa mama mzazi wa mtoto huyo 
Eunice kwa namba0713 034866 au kwa namba 0715 083055
Mungu awabariki wote mtakaochangia kwa njia moja au nyingine.

0 comments:
Post a Comment