Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mbunge
wa viti maalum mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, akishiriki
kutekeleza agizo ya rais Dk. John Pombe Magufuli la Watanzania wote
kufanya usafi katika maeneo yao, kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe
za Uhuru kutimiza miaka 54, kwa kufanya usafi kwenye chuo cha wasioona
cha mjini hapa. Pamoja na kufanya usafi chuoni hapo, Mlata alitoa msaada
wa vifaa mbalimbali ikiwemo viti vya plastiki 150.Thamani ya msaada
huo, ni zaidi ya shilingi 6.3 milioni.
Mbunge
wa viti maalum mkoani...
Kukosekana kwa Daraja katika Mto Saiwa wa kijiji cha Minyughe, kwawa kero kwa wananchi
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Diwani
mteule (CCM) kata ya Minyughe (wa tatu kushoto mwenye suti ya bluu)
Samweli Daniel Sadiki, pamoja na wakazi wa kijiji cha
Minyughe,wakiangalia gari aina ya fuso T.662 CBB la kampuni ya Pepsi
lililosombwa na maji ya mvua katika mto Saiwa.
Gari
aina na fuso T.662 CBB la kampuni ya Pepsi mjini Singida, likiwa
limeangushwa na kusombwa na maji ya mvua katika mto Saiwa wa kijiji cha
Minyughe wilaya ya Ikungi. Gari lililokuwa linasambaza soda katika
vijiji vya kata ya Minyughe lipo mtoni hapo kwa zaidi...
UN, SERIKALI ZATAKA VIJANA KUONGOZA KATIKA KUKABILI MABADILIKO TABIA NCHI SINGIDA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Chigulu Charles akitoa neno la ukaribisho kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone katika ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani Singida.
Mwakilishi wa Mratibu Mkuu wa Taasisi ya Kijamii ya Fursa za Kimaendeleo (Fu-DI) ya wilayani Ikungi, inayosimamia mradi wa ufugaji nyuki kisasa, Boniface Mathew akitoa maelezo ya mradi...
UN, SERIKALI WASHUKURU WAKAZI WA SINGIDA KUJIMILIKISHA MIRADI YA MAENDELEO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na mmoja wa watendaji wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida mara tu alipowasili kijiji cha Puma kukagua mradi wa ufugaji kuku wa kusaidia watu wanaoishi na VVU unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia TACAIDS. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone akiteta jambo na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya...