Mbunge wa Bahi, Omar Baduwel, anatuhumiwa kutafuna fedha za
Mfuko wa Jimbo zilizokuwa zikirejeshwa na wananchi baada ya kukopeshwamajembe
ya kukokotwa na ng’ombe.
Mbali na hilo pia Mbunge huyo anadaiwa kutafuna fedha za mradi wa maji wa
kijiji cha Chibelela ambao serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo
ilitenga Sh. milion nne kwa ajili ya mradi huo ambao wananchi pia walichangia
Sh. milioni 1.7.
Akiwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya
Bahi, Diwani wa Kata ya Lamaiti, Donald Mejitii (CCM), alilitaka Baraza la
Madiwani kuunda kamati kwa ajili ya kuchunguza fedha hizo baada ya halmashauri
kushindwa kusimamia makusanyo ya fedha za Mfuko wa Jimbo kwa mwaka mmoja.
Alisema hatua ya kuwasilisha hoja binafsi imefuatia taarifa kuwa kuna mtu
anayepita...
MWANAMKE APANDISHWA KIZIMBANI KWA KESI YA MAUWAJI, CHEKI PICHA NA HABARI HAPA
Mtuhumiwa
wa mauaji Tabu Jumanne (50) mkazi wa Kibaoni Singida mjini (katikati
anayekwepa kamera) akiwa kwenye chumba cha mahakama ya wilaya ya Singida
akisubiri kusomewa shitaka la kuumuawa Fatuma Shaban. Tabu anakabiliwa
na shitaka la kumuuawa Fatuma, akishirikiana na binti zake Halima Swedi
(anayejificha mwenye fulana nyekundu) na Mwamvua Yusuph baada ya
mwanamke huyo kumdai Tabu amlipe mshahara binti yake aliyekuwa akifanya kazi za ndani. Askari
polisi wakiwa na mahabusu wakiwapeleka mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa
Singida kusomewa mashitaka yanayowakabili.(Picha na Nathaniel Limu). ====== Na Nathaniel Limu, Singida
...
HOT NEWS TUKIO KATIKA PICHA: WALIOIDHALILISHA NA KUSACHI MAITI NA KUPORA ZAIDI YA MILIONI 19 WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 120.

Gari
aina ya Land cruiser mali ya chuo cha SUA cha mjini Morogoro kama
linavyoonekana baada ya kupigwa mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni
majambazi nje kidogo ya mji wa Singida.
Kesi
inayowakabili washitakiwa watano walioteka gari la chuo cha SUA mjini
Morogoro na kunyang’anya zaidi ya shilingi 19.8 milioni, hukumu yake
inatarajiwa kutolewa kesho na mahakama ya wilaya ya Singida. Utekaji huo
ulifanyika Desemba sita mwaka jana saa saba na nusu usiku kwenye
barabara kuu ya Dodoma – Singida eneo la Kisaki manispaa ya Singida.
Hudumu
wa chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida...
Jeshi la Polisi Singida lapata mifupa ya mtu aliyeuwawa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
Jeshi
la Polisi Mkoani Singida limefanikiwa kupata mabaki ya mifupa ya mtu
anayedhaniwa kuwa ni Saidi Ngereza (35) mkazi wa Dominiki wilaya ya
Mkalama.
Inadaiwa
Septemba 30 mwaka huu saa 2.30 usiku Saidi alimuaga mke wake Aziza
Khamisi (22) kuwa anakwenda kwa jirani yake kwa ajili ya kumjulia hali
kwa vile alikuwa akiumwa.
Habari
zaidi zinadai kuwa toka siku hiyo aliyoaga hakurudi nyumbani kwake hadi
oktoba 14 mwaka huu saa 6.00 mchana makaki ya mifupa yake
yalipogunduliwa hatua kilomita tatu toka nyumbani kwake.
Kamanda
wa Polisi...
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE WAWILI KUJERUHIWA MKOANI SINGIDA
Mtu
mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi kifuani na mwingine kujeruhiwa
mikono yote miwili baada ya watu wasiojulikana kuwavamia na kutaka
kuwapora mali katika wilaya ya manyoni mkoani Singida.
Tukio
hilo limetokea katika kijiji cha Igwamadete kata ya iseke tarafa ya
Nkonko wilayani manyoni baada ya mtu aliyejulikana kwa jina la Alody
Joshua mwenye umri wa miaka 29 kupigwa risasi na majambazi hao
Aidha
Daudi Azaliwa amejeruhiwa mikono yote miwili baada ya kupigwa risasi na
majambazi hao wakati wakitoka kwenye mnada wa Mpapa kuelekea nyumbani
ndipo majambazi hao walipoanza kuwapiga na kuwanyanganya fedha na
kusababisha...
ALAT MKOANI SINGIDA WATAKIWA KUKUSANYA MAPATO YA ADA ZA LESENI

Na SingidaYetu.Blogspot.com
Wajumbe
wa jumuiya ya tawala za mikoa Tanzania ALAT mkoa wa Singida
wametakiwa kuonyesha uwezo wa kukusanya mapato yanayotokana na Ada za
lesen kwa ukamirifu ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa
Wito
huo umetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone wakati wa
ufunguzi wa Kikao cha ALAT mkoa kilichofanyika kwenye ukumbi wa parokia
ya kanisa katoliki mjini Singida
Dr.
Kone amesema ada za lesen zikikusanywa kwa ukamilifu serikal itaongezea
halmashauri za mkoa wa Singida wigo mpana wa vyanzo katika halmashauri
zote
Amesema
kwa kutumia...
SINGIDA YAAGIZA DOZI MPYA CHANJO YA UGONJWA WA KIDERI
WILAYA ya Iramba mkoani Singida imelazimika
kuagiza zaidi ya dozi laki nne za chanjo ya ugonjwa wa kideri
moja kwa moja toka kiwandani, kwa ajili ya kusambaza kwa wafugaji wa
kuku.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya kubainika kuwa
dawa na chanjo nyingi zinazonunuliwa na wananchi kwenye maduka
binafsi ya kilimo na mifugo zinakuwa zimechakachuliwa na kusababisha kuku kufa.
Akizungumza kwenye mafunzo ya
ufugaji bora wa kuku, Mkuu wa Wilaya hiyo Yahaya Nawanda amesema
baada ya kubaini tatizo katika chanjo hizo, wameona vyema kuagiza moja
kwa moja toka kiwandani zinakotengenezwa na kuzimbaza kwa wananchi
wanaofuga kuku Vijijini.
Bwana Nawanda amesema tayari mpango
huo umeanza kutekelezwa na dozi...
UCHAFU MJINI SINGIDA WAWA KERO

(Picha zote kutoka maktaba)
Kuongezeka
kwa idadi ya watu katika kata ya Mandewa Manispaa ya Singida
kumesababisha kuongezeka kwa uzalishaji wa taka laini na ngumu katika
kata hiyo na maeneo jirani.
Mwenyekiti
wa kamati ya usafi na mazingira kata ya Mandewa Bw. Elifuraha Mgoma
amesema hayo muda mfupi baada ya kumaliza shughuli za kufanya usafi eneo
la Ginery manispaa ya Singida.
Amesema
hivi sasa kunaongezeko watu lilochangiwa...
MOHAMMED DEWJI AMONG TWO YOUNGEST BILLIONAIRES ON CONTINENT
MeTL Group CEO Hon.Mohammed Dewji.
Africa boasts 55 billionaires from 10 countries
Africa, the world’s fastest growing emerging market, is now home to 55 billionaires, with an average net worth of $2.6bn.
By Rebecca Burn-Callander, Enterprise Editor - The Telegraph
Africa
is now home to 55 billionaires, up from previous estimates of 16-25
billionaires, new research has found. These super rich are worth a
combined total of $143.88bn (£89.27bn).
The UK, in contrast, is home to 84 billionaires, worth a nearly £250bn, according to the 2013 Sunday Times Rich List.
With
55 billionaires, Africa is comparable...
MOHAMMED DEWJI AMONG TWO YOUNGEST BILLIONAIRES ON CONTINENT
MeTL Group CEO Hon.Mohammed Dewji.
Africa boasts 55 billionaires from 10 countries
Africa, the world’s fastest growing emerging market, is now home to 55 billionaires, with an average net worth of $2.6bn.
By Rebecca Burn-Callander, Enterprise Editor - The Telegraph
Africa
is now home to 55 billionaires, up from previous estimates of 16-25
billionaires, new research has found. These super rich are worth a
combined total of $143.88bn (£89.27bn).
The UK, in contrast, is home to 84 billionaires, worth a nearly £250bn, according to the 2013 Sunday Times Rich List.
With
55 billionaires, Africa is comparable...
Timu ya Minga bingwa mpya kombe la MO 2013/2014

Kamanda
wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP. Geofrey Kamwela (wa kwanza
kulia) wakifurahia jambo na OCD wa wilaya ya Singida, Mohammed
Mwinyipembe (katikati) na msaidizi wa mbunge wa jimbo la Singida mjini,
Duda Mughenyi wakati mechi ya fainali ya ligi kombe la MO
Msaidizi
wa mbunge wa jimbo la Singida mjini, Duda Mughenyi akitoa taarifa ya
ligi ya kombe la mbunge wa jimbo la Singida mjini,Mohammed Dewji
iliyomalizika mwishoni mwa Juma.
Kamanda
wa polisi mkoa wa Singida, ACP.Geofrey Kamwela akimkabdhi kombe la
ubingwa wa ligi ya Mo, kapteni wa timu ya Minga ya manispaa ya Singida,
Shaban Juma.
Baadhi...
Kampuni ya madini ya Shanta yatumia shilingi 23.6 milioni kugharamia ujenzi wa matundu ya choo
Mkuu
wa wilaya ya Ikungi,Manju Msambya, akizungumza kwenye mahafali ya 48 ya
shule ya msingi ya Mang’onyi.Wa kwanza kushoto ni meneja mahusiano wa
kampuni ya madini ya Shanta na anayefuatia ni mwenyekiti wa kamati ya
shule ya msingi ya Mang’onyi, Andrea Andalu.
Mkuu
wa wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Manju Msambya (wa pili kulia)
akikata utepe kuzindua choo chenye matundu 40 cha shule ya msingi
Mang’onyi kilichojengwa na kampuni ya Shanta.Wa kwanza kulia ni afisa
elimu wilaya ya Ikungi Gerald Kivuyo.Wa kwanza kushoto ni meneja
mahusinao wa kampuni ya madini ya Shanta,Credo...