DC MSAMBYA ATAKA WATAALAMU WA KODI MGODINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Manju Msambya, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo kupeleka wataalamu wa kodi na kuweka viwango vya ushuru katika mgodi wa machimbo ya dhahabu ya Muhintiri. Akizungumza na viongozi na watendaji wa Halmashauri hiyo, Msambya, alisema ili kuiwezesha Halmashauri hiyo ni vema viongozi hao wakaweka wataalamu wa kodi watakaokusanya mapato ya ndani, ili waweze kukamilisha baadhi ya miradi badala ya kuendelea na utamaduni wa kutegemea fedha za Serikali kuu. Aidha, alisema eneo la machimbo hayo lina mzunguko mkubwa wa fedha, hivyo kuhitaji kuangaliwa na kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao unakuwa wa uhakika na kuongeza...

UTUMISHI YAFANYA KIKAO KAZI KWA VIDEO CONFERENCE NA MIKOA YA SINGIDA,ARUSHA NA DODOMA

Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifungua kikao kazi kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference)kilichojumuisha Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo. Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo. Afisa Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Sakina Mwinyimkuu akiwasilisha katika kikao kazi kilichofanyika...

WALIMU WAKOSA VYOO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. WALIMU wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Mandewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida hawana vyoo kwa miaka nane sasa, halia ainayowalazimu kutumia vyoo vya wanafunzi. Kufuatia hali hiyo, Rais wa Shirikisho la Wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, ameingilia kati na kutoa sh. 500,000, lori 10 za mchanga na vifaa kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyoo hivyo. Akizungumza juzi kwenye mahafali ya nne wa kidato cha nne kwenye shule hiyo, Bina ambaye alikuwa mgeni rasmi alionekana kuguswa na hali hiyo na kuamua kuendesha harambee ya papo kwa hapo. Mara baada ya Bina kuanzisha harambee hiyo, Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Tawi la Singida, Emmanuel...

MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone, wakati wa uzinduzi wa mpango wa ushirikiano ili kupunguza VVU na vifo vya wajawazito na watoto, iliyofanyika mjini Singida juzi. Dk.Kone alifafanua kwamba pamoja na mafanikio hayo, serikali hivi sasa inalenga kutokomeza kabisa maambukizi hayo. Mkuu wa Mkoa huyo pia alipokea msaada wa vifaa mbali mbali vilivyotolewa na Watu wa Marekani kupitia Shirika ka misaada la USAID kama sehemu ya Mpango wa dharura wa Rais...

FUNDI RADIO AFA BAADA YA KUZIDIWA GESTI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. FUNDI radio maarufu mjini hapa, Daniel Mosha (53), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Mkoa baada ya kuugua ghafla akiwa anafanya mapenzi na mwalimu mmoja katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Cheyo. Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 11:00 alfajiri katika nyumba hiyo iitwayo Cheyo chumba namba nne, wakati fundi huyo akijivinjari na mpenzi wake huyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Geofrey Kamwela, alisema fundi huyo alifariki Oktoba 14 mwaka huu saa 10.30 jioni katika hospitali ya Mkoa alikokimbizwa baada ya kuzidiwa akiwa gesti. Aidha, Kamanda Kamwela alisema kuwa Oktoba 13 mwaka huu majira...

BAADA YA DIAMOND KUPANDA KWENYE STAGE NA NGUO ZA JESHI, JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) LATOA TAARIFA

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo   : “N G O M E”            Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM  22150463       Sanduku la Posta 9203, Telex                     : 41051                        DAR ES SALAAM, 20 Octoba, 2014 Tele Fax              ...

TAARIFA FUPI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI MKOANI SINGIDA KIPINDI CHA 2005 - 2014‏

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone. Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan. Jengo la OPD katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida. Jengo la utambuzi wa Magonjwa katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida. Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399....

Tamasha la Fiesta 2014 laiteka Singida, leo Jumapili kurindima mjini Dodoma

 Baadhi ya mwashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 wakishangilia kwa hisia,wakati shoo ikiendelea jukwaani ndani uwanja wa Namfua mjini Singida.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake Zone,Linah Sanga ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Oletemba,akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu wakati wa tamasha la Fiesta lililofanyika jana katika uwanja wa Namfua,kulia ni mmoja wa wacheza shoo wake akiwajibika jukwaani.  Kundi mahiri la muziki wa kizazi kipya litambulikalo kwa jina la Makomando wakilishambulia jukwaa la Fiesta hapo jana ndani ya uwanja wa Namfua mjini Singida.  Sehemu ...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa