Naibu 
Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifungua kikao kazi kwa njia
 ya Ki-elektroniki (video conference)kilichojumuisha Utumishi na Mikoa 
ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi 
mapema leo.
Naibu 
Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kulia) akifuatilia mada wakati wa 
kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) 
kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango 
katika ukumbi wa Utumishi mapema leo.
Afisa 
Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Sakina Mwinyimkuu 
akiwasilisha katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki
 (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma
 na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo. Wengine ni 
viongozi wa Ofisi ya Ris Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia 
mada.
Baadhi
 ya viongozi na watumishi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa 
Umma wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya 
Kielektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, 
Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema leo.
Afisa 
Utumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Magreth Ngondya (kushoto) 
akiwasilisha mada katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia Ki- 
elektroniki (video conference) katika kikao kazi kati ya Utumishi na 
Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa 
Utumishi mapema leo. Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya
 Utumishi wa Umma wakifuatilia mada.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
0 comments:
Post a Comment