SOMA HAPA-NANI ANACHEZESHA NGOMA YA ESCROW NA IPTL?

Kwa muda sasa kumekuwapo na tuhuma zinazohusu "wizi" wa fedha za akaunti ya escrow iliyofunguliwa katika Benki Kuu ya Tanzania mwaka 2006. Akaunti hiyo ilifunguliwa kwa ajili ya kuhifadhi fedha zilizokuwa zikilipwa na Shirika la Umeme Tanzania {TANESCO} kwa kampuni ya kufua umeme ya IPTL. Chimbuko la akaunti hiyo ni mgogoro wa tozo hiyo kwamba iligubikwa na utata baada ya kudaiwa kwamba Tanesco ilikuwa ikitozwa fedha nyingi kuliko inavyostahili.             Tuhuma za huo "wizi" hata hivyo hazikuishia tu kwa wahusika wakuu yaani makampuni ya umeme, bali zimetiririshwa hadi kwa watu binafsi ambao kimsingi hawana uhusiano wowote na mgogoro huo wa malipo na wala kuhusika kwa njia yoyote na hicho kinachodaiwa kwamba ni uporaji wa fedha za...

NYALANDU AMTEUA RC SINGIDA MWENYEKITI WA KIKOSI KAZI ALICHOUUNDA JANA.

Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyalandu amemteua Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Paseko Kone kuwa Mwenyekiti wa Kikosi kazi kitachofuatilia uundwaji wa chama cha wafuga nyuki hapa nchini. Nyalandu alimteua Mkuu wa Mkoa huo kwa kuwa amekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia wafugaji wa nyuki katika mkoa wake wa Singida bila kuchoka. Waziri Nyalandu alitoa uamuzi huo wakati akifuga kongamano la ufugaji nyuki la Afrika lililomalizika Jijini Arusha jana. Wajumbe Wengine walioteuliwa katika kikosi kazi hicho ni Juma Shaban Mgoo ambaye atakuwa katibu wa Kikosi kazi hicho na pia ni  Mtendaji Mkuu,wakala wa Huduma za Misitu Tanzania na ambaye...

DC Igunga ajivunia mapato ya CHF, NHIF

Waziri wa afya na ustawi wa jamii,Dk.Seif Rashidi akifungua kongamano la tisa la baadhi ya waandishi wa habari lililoandaliwa na kufadhiliwa na mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Dodoma hotel mjini Dodoma.Dk.Rashidi aliwataka wanahabari kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kujiunga na mifuko ya afya,ili waweze kuwa na uhakika wakati wote hata kama hawana fedha. Na Nathaniel Limu, Dodoma HALMASHAURI ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imekusanya zaidi ya shilingi 1.2 bilioni kutoka michango ya wanachama wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) na vyanzo vingine vya huduma ya afya, kati ya mwaka 1996 na sasa. Fedha...

Magazeti ya leo ijumaa

  Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399....

SEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA

Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya wilaya ya Iramba. Kulia mwenye miwani ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda. Na Nathaniel Limu, Iramba SHIRIKA lisilo la kiserikali la Sustainable Environment Management Action (SEMA),linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 396 milioni kugharamia utekelezaji wa mradi wa usafi mashuleni na mazingira kwa ujumla,katika shule saba ba kata saba za wilaya ya Iramba. Fedha...

MWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA KIWANDA CHA MABIBO BIA WA KUJENGA KIWANDA

Chupa za Windhoek zinavyoonekana.  Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira akizungumza na wadau na wanahabari wa jiji la Mwanza wakati wa Promosheni ya Bia za Windhoek iliyofanyika leo usiku katika Hoteli ya Villa Park Resort jijini humo.  Mshauri Mkuu wa Fr James Rugemalira, Aniki Kashasha akizungumza na wadau wa jiji la Mwanza pamoja na wanahabari kuhusu bia za windhoek Lager na Windhoek Draught.   Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akiwa amekaa na viongozi mbalimbali meza kuu. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni inayosambaza Gas ya Oryx jijini Mwanza...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa