Naibu
 Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella 
Manyanya akiwasili katika halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo 
alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mwenyekiti wa 
Halmashauri ya Singida Eliya Digha.
Mkuu
 wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akimkaribisha Naibu Waziri Wizara ya 
Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya ili aweze 
kuzungumza na watumishi wa halmashauri ya Singida.
Naibu
 Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella 
Manyanya akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule aliyoitembelea 
kukagua na kuhamasisha elimu ya watu wazima.
Naibu
 Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella 
Manyanya akiwa amekaa kwenye moja ya darasa lenye wanafunzi walio katika
 mpango ulio nje ya mfumo rasmi wa elimu ya watu wazima.
Naibu
 Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella 
Manyanya akikagua daftari la mwanafunzi wa elimu ya watu wazima.
0 comments:
Post a Comment