
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) akiongozana na Mbunge wa Jimbo
la Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala (kulia) mara baada ya kuwasili
kwenye Chuo cha Madini Dodoma, Kampasi ya Nzega ili kujionea hali ya
eneo hilo.
Naibu
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akikagua mazingira ya Chuo cha
Madini Dodoma, Kampasi ya Nzega ili kujionea hali ya Kampasi hiyo.
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Isanga, Kata ya Lusu Wilaya ya Nzega (hawapo...