Home » » ABIRIA ZAIDI YA 40 MKOANI SINGIDA WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI KUZIDIWA NA MZIGO.

ABIRIA ZAIDI YA 40 MKOANI SINGIDA WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI KUZIDIWA NA MZIGO.


Abiria zaidi ya 40 wamenusurika kufa baada ya basi dogo aina ya Costa lenye namba za usajili T.333 BNK lililokuwa linatoka Singida mjini  kwenda kijiji cha Ilunda wilayani Iramba, kupinduka katika eneo la kituo cha mabasi cha zamani kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuzidiwa na uzito wa mizigo iliyokuwa imepakiwa.
Picha mbalimbali zinazoonyesha basi hilo kupinduka.(Picha na Nathaniel Limu).
Picha na Mo Blog

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa