Picha juu na chini ni Mbunge wa jimbo
la Singida mjini, Mh. Mohammed Gullam Dewji akihutubia wananchi kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha mabasi cha zamani mjini
Singida.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria
mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mbunge wa jimbo la Singida
mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji kuzungumza na wananchi wa jimbo lake.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mh.
Mohammed Gullam Dewji, akiwa anasalimiana na Wana CCM na wananchi wa
Singida mjini kwenye kituo cha mabasi cha zamani mjini Singida.
Na Nathaniel Limu.
Mbunge wa Singida mjini (CCM) Mh.
Mohammed...
Kesi ya diwani wa kata ya Mungaa mkoani Singida kupitia tiketi ya CHADEMA ya kukatakata Ng’ombe sita kuunguruma kesho.
Diwani wa CHADEMA kata ya Mungaa jimbo la Singida Mashariki, Matheo Alex (wa pili kushoto aliyenyanyua mkono juu) akiwa katika chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida akisubiri kusomewa shitaka lake la kukata kata ng’ombe sita mali ya Mary John mkazi wa kijiji cha Minyinga kata ya Mungaa.Wa pili kulia ni mtoto wa diwani Alex, Faraja na wa pili kushoto Bahati Sumbe (mwenye jacketi la njano) wameunganishwa kwenye kesi moja na diwani Alex.
Na Nathaniel Limu.
Kesi ya kukata kata ng’ombe sita inayomkabili diwani wa kata ya Mungaa kupitia tiketi ya CHADEMA, jimbo la Singida Mashariki Matheo Alex na washitakiwa...
TANGAZO LA MAUZO YA NYUMBA ZA MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)

MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF Mfuko
unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na
Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe),
Tabora (Usule), Mtwara (Mang’amba) na Shinyanga (Ibadakuli). Bei ya
nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya
VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo. Ukubwa wa
nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa
gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko
zilizopo mikoa yote nchini.Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua...
Mh. Tundu Lissu amwaga sera ndivyo sivyo.
Mbunge
wa jimbo la Singida mashariki Mh. Tundu Lissu akizungumza kwenye
uzinduzi wa kampeni ya nafasi ya udiwani kata ya Iseke tarafa ya Ihanja
wilaya ya Ikungi uliofanyika katika kijiji cha Iseke.
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Iseke tarafa ya Ihanja waliohudhuria uzinduzi
wa kampeni ya udiwani kata ya Iseke uliofanywa na chama cha CHADEMA.
Baadhi
ya viongozi wa CHADEMA waliohudhuria uzinduzi wa kampeni ya udiwani wa
kata ya Iseke tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi.(Picha zote na Nathaniel
Limu).
Na Nathaniel Limu.
Mgeni rasmi katika kampeni ya uzinduzi wa nafasi ya udiwani kata ya Iseke tarafa...
MAHAKAMA ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga-CCM Dr. Dalali Peter Kafumu asubuhi ya leo.

Mbunge wa jimbo la Igunga-Tabora-CCM ndugu
Dalaly Peter KAFUMU
-
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga-Tabora ndugu
Dalaly Peter KAFUMU amerudishiwa ubunge wake na mahakama leo hii asubuhi
baada ya aliyekuwa mgombea kupitia CHADEMA ndugu Kashinde kushindwa
kuwakilisha risiti ya hati ya kiwanja wakati wa kesi ya msingi ya
kwanza,Hivyo CHADEMA wamepoteza huko Igunga.FUATILIA
...
Jela Miaka 30 kwa kunajisi mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya Manyoni mkoani Singida imemhukumu mkazi wa kijiji cha Matangalala wilayani humo, Maduhu Dotto (31) kwenda jela miaka 30 baada ya kumkuta na hatia ya kunajisi mtoto.
Aidha, Maduhu na mshitakiwa wa pili katika kesi hiyo, Juliana Malungo (28), wametakiwa kulipa faini ya Sh 200,000 kila mmoja.
Malungo ambaye ni mkazi wa mtaa wa Chang'ombe mjini Manyoni, alipatikana na hatia ya kula njama na Maduhu na kwamba ndiye aliyefanikisha kitendo cha kunajisi msichana mwenye miaka 14, kwa ahadi ya kumzawadia vitenge binti huyo.
Mwendesha Mashitaka, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Hamis Fussi alidai mbele ya Kaimu Hakimu wa Wilaya ya Manyoni, Terrysophia Tesha kuwa Aprili 28 mwaka jana saa 6:45 mchana washitakiwa kwa pamoja walikula njama za kumnajisi binti huyo na kumsababishia maumivu...