
 Mbunge wa jimbo la Igunga-Tabora-CCM ndugu  
Dalaly Peter KAFUMU
 -
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga-Tabora ndugu  
Dalaly Peter KAFUMU amerudishiwa ubunge wake na mahakama leo hii asubuhi
  baada ya aliyekuwa mgombea kupitia CHADEMA ndugu Kashinde kushindwa  
kuwakilisha risiti ya hati ya kiwanja wakati wa kesi ya msingi ya  
kwanza,Hivyo CHADEMA wamepoteza huko Igunga.FUATILIA
0 comments:
Post a Comment