Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya
Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya
IrambaMwigulu
Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba
wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
MWigulu
NChemba akiwa na Wagombea wenzake kabla hawajajitoa kwenye mbio hizo za
kura ya Maoni ya kuwania Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya
CCM,Wagombea kuanzia kushoto ni Juma Kilimba,Davd Jairo Kitundu,Amon
Gunda na Mwigulu Nchemba.Mwigulu
Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mbelekesye kuhusu mambo
mbalimbali ya Maendeleo aliyowafanyia ikiwamo kuwasha Umme Zaidi ya
vijiji 48 ndani ya miaka 5,Ujenzi wa maabara na zahanati kwa kila kata
,Ujenzi wa barabara za kuunganisha kila kijiji,Uchimbaji wa visima kwa
Zaidi ya Vijiji 50 n.k.Hivyo anaomba ridhaa ya kuendelea kuwatumikia
wananchi kwa miaka 5 ijayo.Vijana
wakimshangilia Mbunge wao kwa kazi alizofanya hivyo kumuunga mkono
kwenye kura za maoni iliaweze kuteuliwa tena kuwawakilisha Bungeni kwa
miaka 5 ijayo.Wananchi
wakiwa wamemshikilia Mbunge wao Mh.MWigulu Nchemba iliasalimiane nao
wakati wakura za Maoni.Mwigulu amekuwa akishangiliwa sana na Wananchi wa
Iramba na wengi wanaonekana kumuunga mkono kutokana na alivyoweza
kuibadilisha Taswira ya Jimbo la Iramba kimaendeleo na katika Sura ya
Nchi.
0 comments:
Post a Comment