Aliyekuwa
 mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa wenyeviti CCM mikoa 
ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na msimamizi wa 
uchaguzi halmashauri ya manispaa ya Singida, Joseph Mchina ya kugombea 
ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya CHADEMA.
(Picha na 
Nathaniel Limu).
0 comments:
Post a Comment