Mgombea
 Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu akichukua fomu ya 
kugombea Ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM kwa  
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, Mkurugenzi Mtendaji 
HAJJAT MWASUMILWE.
Nyalandu akihutubia wananchi Kinyagigi.
Lazaro Nyalandu akiwa Kinyagigi.
Wananchi wa kijiji cha Kinyagigi wakimpokea Nyalandu.
0 comments:
Post a Comment