Katibu
 wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela 
Lubinga (kushoto) akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Kaskazini 
ndg:Justine Monko (kulia) wakati wa mkutano wa Hadhara uliofanyika kata 
ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Singida Vijijini Bi Grace Shindika Akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida mhe: Martha Mlata akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ndg:Juma kilimba akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kumnadi Mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Singida Vijijini Bi Grace Shindika Akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
.Katibu
 wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela 
Lubinga (katikati) akizungumza na Mgombea Ubunge Jimbo ;la Singida 
Kaskazini ndg: justine Monko (kwanza kushoto) pampoja na Mwenyekiti wa 
CCM Mkoa wa Singida Ndg:Juma Kilimba.
Mkuu
 wa Wilaya ya Ikungi Mhe: Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza katika 
mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida 
Kaskazini Mkoani Singida.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida mhe: Martha Mlata akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ndg:Juma kilimba akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kumnadi Mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
 Viongozi wakifurahia jambo
Mgombea
 Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Ndg:Justine Monko akijinadi katika 
mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida 
Kaskazini Mkoani Singida (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
0 comments:
Post a Comment