Mratibu wa Miss Singida mkoani Singida Aunt Borah Lemmy akizungumza na mwandishi wa habari wa MO BLOG (hayupo kwenye picha) juu ya maandalizi ya shindano la kumsaka Miss Singida 2012.Miss Singida 2011 Lizpbeth Pertti (katikati) na kulia ni mshindi wa pili Nyange Warioba na kushoto ni mshindi wa tatu Esther Gidion. (Picha zote na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu.Shindano la kumsaka Miss Singida 2012 Redds, linatarajiwa kufanyika Juni Mosi mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque vitae mjini Singida.Akizungumza na mwandishi wa habari wa MO BLOG ofisini kwake, Mratibu wa Miss Tanzania mkoani Singida Aunt Borah Lemmy, amesema maandalizi yote...
MKUU WA MKOA WA SINGIDA AMUAHIDI JK UTENDAJI BORA KUFUATIA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA.
Mkuu wa mpya wa wilaya ya Singida mwalimu Queene Mlonzi akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone.Mkuu wa wilaya mpya ya Ikungi Manju Salum Msambya akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone.Mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vichent Kone (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakuu wapya wa wilaya ya Singida muda mfupi baada ya kuwaapisha.Baadhi ya viongozi wa serikali na vyama vya siasa mkoani Singida waliohudhuria kuapishwa kwa wakuu wapya wa wilaya za mkoa wa Singida.Mwenyekiti wa CHADEMA manispaa ya Singida John Kumalija akimpongeza mkuu mpya wa wilaya ya Manyoni Fatuma Taufiq muda...
Baraza Kuu NHC Lafanyika Singida

Meneja wa NHC Tawi la Mkoa Singida, Mariam Kambi, pamoja na wajumbe wengine wakiwa wamesimama tayari kumpokea mgeni rasmiWafanyakazi wa NHC Mkoa Singida wakiimba wimbo maalumu wa shirikaa hilo, kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo, leo mjini SingidaSehemu ya wajumbe wa mkutano wa Taifa wa baraza kuu la wafanyakazi wa NHC, wa siku mbili leo na kesho unaofanyika mjini SingidaNaibu katibu mkuu wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi,Maria Bilia akifungua mkutano wa siku mbili wa baraza kuu Mkurugenzi mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akimkaribisha mgeni rasmi Naibu katibu mkuu, wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makaziSingidaMei 12, 2012.MKUTANO...
AANGUKA KIZIMBANI BAADA YA HUKUMU NI MSHTAKIWA ALIYEKIRI KUUWA KISA ALINYIMWA MAKANDE YA HARUSI.
Mshitakiwa Juliana Ibrahimu akitolewa nje ya chumba cha mahakama kuu baada ya kuzirai kutokana na kuhukumiwa kutumikia jela miaka mitatu baada ya kukiri kosa la kuuwa bila kukusudia.Askari polisi wa kike wakimpunguzia nguo mshitakiwa Juliana Ibrahimu ili waweze kupepea upepo aweze kuzinduka baada ya kuzirai kutokana na kuhukumiwa adhabu ya kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kuuwa jirani yake Maria Musa, bila kukusudia.(Picha zote na Nathaniel Limu).Mwanamke mkazi wa kijiji cha Musimihi tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Juliana Ibrahimu (52),ameanguka kizimbani na kisha kuzirai na kupoteza fahamu, baada ya kuhukumiwa na mahakama kuu ...
WARATIBU ELIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA KIKAMILIFU UTOAJI TAALUMA MKOANI SINGIDA.
Afisa elimu wa halmashauri ya wilaya ya Singida Bw.Patrick Mwaluli akitoa taarifa yake kwenye maadhimisho ya siku ya taaluma ya halmashauri hiyo.Baadhi ya walimu wakuu wa shule za msingi na wakuu wa shule za sekondari katika halmashauri ya wilaya ya Singida waliozawadiwa simu za vingajani kwa kufanya vizuri katika taaluma.(Picha zote na Nathaniel Limu).Afisa elimu mkoa wa Singida, Yusuph Kipengere, amewaagiza waratibu elimu kata, kuongeza kasi ya kuratibu na kusimamia kikamilifu utoaji taaluma, ili lengo la mkoa la kufaulisha mtihani wa kitaifa wa kumaliza elimu ya msingi kwa asilimia 85 lifanikiwe.Kipengere ameto agizo hilo juzi wakati akizungumza...
DKT. KONE ATOA ONYO LA KUTOKUPOKEA WALIMU WASIO NA WITO MKOANI SINGIDA.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone akizungumza kwenye kilele cha mahafali ya tano ya chuo cha walimu mjini Singida. Kulia ni Mkuu wa chuo hicho cha walimu Didas Monyo.Mkuu wa chuo cha walimu cha Singida mjini Didas Monyo akitoa taarifa yake kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone.Baadhi ya wanachuo wa chuo cha ualimu cha Singida mjini waliohudhuria mahafali ya tano.Bango la chuo cha ualimu na shule ya sekondari ya Singida iliyopo mjini Singida. (Picha zote na Nathaniel Limu).Na.Nathaniel Limu.Serikali ya mkoa wa Singida imedai kwamba haina nafasi kabisa ya kupokea walimu ambao hawana...
Picha Za Jamii Ya Wahadzabe

Bw.
Abel Matayo, mkazi wa kitongoji Kipamba, kata Mwangeza, Iramba, wa
jamii ya Kihadzabe akiaga familia tayari kwa safari kuwinda Mmoja wa Wahadzabe, Abel Matayo akivuta sigara nyumbani kwake Kipamba, kata Mwangeza kabla ya kuelekea kuwinda porini.Mhadzabe
akivuta kasi kusaka wanyama pori, lakini wanalalamika pori lao
kuvamiwa na jamii ya wafugaji, hasa Wasukuma na Wadaatoga, kiasi cha
kuharibu mazingira yao kwa kufyeka misitu ovyo kusaka mashamba na eneo
la malisho.
Na Elisante John Wa Mjengwa B...
Singida Walivyoadhimisha Siku Ya Habari

DAS wilaya Iramba Singida, Yahaya Anania, akikabidhi sehemu ya msaada wa thamani ya zaidi ya Milioni moja
Wahadzabe wakisubiri msaada kutoka kwa klabu ya wanahabari mkoa Singida(SINGPRES0, walipotembelea ili kutoa msaadaSeif Takaza (kushoto), Mwenyekiti wa klabu ya wanahabari mkoa Singida akikabidhi sehemu ya msaada wa kibinadamu kwa katibu tawa
Singida, Mei 04, 2012. WANAHABARI mkoa Singida, kupitia klabu yao SINGPRESS, wameungana na wanahabari wenzao duniani kwa kuadhimisha siku yao kwa kutoa msaada wa kibinadamu kwa jamii ya Wahadzabe wanaoishi kitongoji cha Kipamba, kata Mwangeza, wilayani Iramba. Katika kuadhimisha siku hiyo,...
AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KWA MPIGO MKOANI SINGIDA.
Askari wa usalama barabarani mjini Singida, wakipima ramani sehemu ya ajali iliyohusisha Tipper T.733 BGX ambalo lilikuwa likiendeshwa na Adam Awadhi (amevunjika miguu yote) likitokea maeneo ya Mwenge kuja mjini kati kupitia barabara ya Singida – Arusha, liligonga kwa nyuma fuso.T.780 AFR. Fuso hilo lilikuwa likielekea barabara ya Stanley Motel ambapo baada ya kugongwa liliangukia gari ndogo T.491 ARG.Dereva wa fuso lililokuwa limebeba sukari guru na dereva wa gari hilo amelazwa hospitali ya mkoa ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja.Tipper T733 BGX likiwa limegongana na fuso namba T780 AFR.Baadhi ya wakazi wa Singida mjini...