Home » » WAFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA SINGIDA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

WAFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA SINGIDA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

MARY JOHN MWANGA (52) ni mkazi wa Mkalama Singida, ni mkulima na mfugaji anashamba la ekari 5 na analima mahindi na anafuga ng’ombe watano

ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anashiriki katika shughuli za maaendeleo ya kijiji, michango na mikutano. "Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 22" anasema

DORICUS MSAFIRI SHUMBI (38) namba yake ya ushiriki ni MS 25 ni mkazi wa Mkalama Singida, mkulima na mfugaji, ana shamba la ukubwa wa ekari 5 ambayo anaitumia kulima mahindi, anafuga ng’ombe 5.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anapenda kujitoa na kushirikiana na vikundi mbalimbali "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 7. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 56" anasema

MAISHA PLUS /MAMA SHUJAA WA CHAKULA

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa