Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi alipowasili
Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya
yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja. Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kupitia Singida akiwa njiani kuelekea Dodoma Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (wa pili
kushoto) na viongozi wengine wa mkoa wa Singida wakiondoa kitambaa
kuashiria kufunguliwa rasmi kwa barabara ya Itigi -Manyoni
-Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine
wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi
kwa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya
yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo
na Mwakilishi wa Kampuni ya PowerChina International Group Limited nchini Bw.
Wang Chao wakati wa Ufunguzi wa Barabara
ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za
Serikali kwa asilimia mia
moja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kuwasalimia kwa kupunga mikono kwa wananchi wa Itigi na
Manyoni walioshiriki na Kushuhudia Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa Itigi na Manyoni walioshuhudia Ufunguzi wa Barabara ya Itigi
-Manyoni -Chaya
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi
Kijiji Cha Tula Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa
njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo
akiwa njiani katika moja ya mikutano ya barabarani kwa waliojitokeza
Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye ziara ya
siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa
Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5
iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa
asilimia mia moja.
Wananchi
wa Itigi na Manyoni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu
wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja.
Picha zote na IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wakazi wa Itigi mara baada ya kuzungumza nao na kuzindua barabara
Manyoni-Itigi-Chaya, ambapo pamoja na mambo mengine ameagiza ujenzi wa
barabara ya Chaya-Nyaua yenye kilomita 85 na ujenzi uanze ndani ya siku
45 ili barabara hiyo ikamilike kwa kiwango cha lami.
0 comments:
Post a Comment