Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu ya mkono katika hospitali ya Mkoa wa Singida mara baada ya kupata ajali ya lori iliyoua watu 6 katika kijiji cha Kijota Singida.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa huku akiendelea kupatiwa matibabu ya mkono katika hospitali ya Mkoa wa Singida mara baada ya kupata ajali ya lori iliyoua watu 6 katika kijiji cha Kijota Singida.
Baadhi ya ndugu na jamaa wa majeruhi wa ajali ya lori iliyoua watu sita wakiwa nje ya wodi za wagonjwa katika hospitali ya Mkoa wa Singida.
Watu
...
DC MTATURU AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 69 ZINAZOSHIRIKI MASHINDANO YA IKUNGI ELIMU CUP 2017
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Wilaya ya
Ikungi mhe Miraji J. Mtaturu akifungua mipira aliyoigawa kwa timu zote shiriki
za mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017"
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mhe Miraji J.
Mtaturu akionyesha moja ya mipira aliyoigawa kwa timu shiriki kwenye mashindano
ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017"
Baadhi za jezi
zilizotolewa kwa ajili ya timu zote shiriki kwenye
mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama "IKUNGI ELIMU CUP 2017"
Na
Mathias canal, Singida
Takribani...
MBAO FC YAJAZWA MILION 140 YA UDHAMINI NA KAMPUNI YA GF TRUCKS & EQUIPMENT LTD
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkurugenzi
wa Mtendaji kampuni ya GF Trucks & Equipment Imrani Karmali na
Mwenyekiti wa Mbao Fc Solly Zephania Njashi wakionyesha hati ya
makubaliano ya Mkataba ikiwa ni mkataba wa udhamini wa timu hiyo kwa
mwaka mmoja wenye thamani ya Milioni 140 sambamba na basi la wachezaji.
Mwenyekiti
wa Mbao Solly Zephania Njashi akizungumza na waandishi wa habari baada
ya kuingia makubaliano ya udhamini wa mkatabwa mwaka mmoja na na kampuni
ya GF Trucks & Equipments wenye thamani ya Milioni 140,...
POLISI SINGIDA WAUA MTU MMOJA AKIDAIWA KUWA JAMBAZI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkazi
wa kijiji cha Shiponga, Hanang Mkoani Manyara anayedaiwa kuwa jambazi,
Hamisi Athumani (32), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kiunoni na
askari polisi wakati akiwa katika harakati ya kutoroka.
Kamanda
wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa, ACP Debora Magiligimba, amesema tukio
hilo limetokea Agosti 25 mwaka huu saa nane mchana, huko katika kijiji
cha Mgori tarafa ya Ngimu wilaya ya Singida.
Amefafanua
kuwa Hamisi (marehemu) alipigwa risasi na askari polisi wakati
akijaribu...
YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA MFUKO WA ELIMU WILAYANI IKUNGI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Jumamosi iliyopita, Agost 19,2017 Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ilizindua rasmi “Mfuko wa Elimu Ikungi” ulioanzishwa wilayani humo kwa lengo la kusaidia utatuzi wa kero za elimu ikiwemo uhaba wa maabara, madarasa, vyoo pamoja na nyumba za waalimu.
Katika uzinduzi huo, pia zilifanyika shughuli kadhaa ikiwemo uzinduzi wa ligi ya soka ya “Ikungi Elimu Cup 2017” yenye lengo la kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali kuchangia Mfuko wa Elimu Ikungi, uzinduzi wa zoezi la ufyatuaji wa matofali ambapo kila Kata...
MABAO 19 YATUPIWA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Matola aanza kwa kuiwezesha Lipuli kutoa onyo, mabao 19 yatupiwa mechi
WAKATI jumla ya mabao 19 yamefungwa kwenye mechi za raundi ya kwanza ya ligi hiyo iliyoanza juzi na kuendelea jana, Yanga imeendeleza rekodi ya Ligi Kuu Bara baada ya kulazimisha sare dhidi ya vijana wa Suleiman Matola, Lipuli FC ya Iringa.
Tangu msimu wa 2010/11, haijawahi kutokea mechi za ufunguzi za ligi hiyo kuchezwa bila kuwapo na mechi hata moja yenye matokeo ya sare, jambo ambalo kama mechi hiyo ya jana timu mojawapo ingeshinda...
WANAFUNZI WENYE MIMBA SASA KUANZA KUSAKWA MASHULENI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhil Nkurlu amesema kamati ya ulinzi na
usalama imekamilisha utaratibu wa kuwasaka wanafunzi wenye mimba ili
kuchukua hatua.
Aliitoa kauli hiyo juzi akiwa Kata ya Ntobo katika Halmashauri ya
Msalala wakati wa makabidhiano ya mradi wa maendeleo ya jamii wa ADP
Busangi uliokuwa ukitekelezwa na shirika la World Vision Tanzania kwa
kuishirikisha wananchi.
Alisema pamoja na mafanikio ya mradi huo, Nkurlu ambye pia ni Mkuu wa
Wilaya hiyo, alisema kwa sasa tayari utaratibu...
MTUHUMIWA WA UJAMBAZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI WAKATI AKITOROKA MKOANI SINGIDA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kamanda
wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba akionyesha
bunduki aina ya rifle iliyokuwa ikimilikiwa na mtuhumiwa wa ujambazi
Hamisi Athumani (32) mkazi wa Shiponga-Hanang mkoa wa Manyara anayedaiwa
kuitumia kwenye matukio ya ujambazi.
Picha/habari na Nathaniel Limu
Mkazi
wa kijiji cha Shiponga – Hanang Mkoani Manyara anayedaiwa kuwa jambazi,
Hamisi Athumani (32), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kiunoni
na askari polisi wakati akiwa katika...
UVCCM MKOANI SINGIDA WAMPONGEZA DC IKUNGI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Umoja wa Chama cha Mapinduzi UVCCM mkoani Singida umempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani humo Mhe.Miraji Mtaturu kwa kuanzisha michuano ya Ikungi Elimu Cup 2017 ili kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kuchangia utatuzi wa changamoto za elimu kupitia Mfuko wa Elimu Ikungi.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Singida, Jimson Mhagama (pichani) alitoa pongezi hizo jana Agosti 19,2017 kwenye uzinduzi wa michuano hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari Ikungi mkoani Singida ambapo mgeni rasmi alikuwa...
IKUNGI UNITED WAJINOA KUELEKEA MICHUANO YA "IKUNGI ELIMU CUP 2017" MKOANI SINGIDA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Fundi akichomelea vyuma kwa ajili ya kufunga nyavu ikiwa ni marekebisho ya mwisho katika uwanja wa shule ya Sekondari Ikungi, wilaya ya Ikungi mkoani Singida kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya ligi ya mpira wa miguu ya Ikundi Elimu Cup 2017 wilayani Ikungi.
Kauli mbiu katika mashindano hayo ni " Changia, Boresha Elimu Ikungi.
Na George Binagi, BMG
Mashindano hayo yatashirikisha timu mbalimbali kutoka Kata 28 wilayani Ikungi yakilenga kuhamasisha wananchi na wadau wengine wa elimu kushiriki katika kutatua changamoto...
MAANDALIZI YA IKUNGI ELIMU CUP 2017 YAPAMBA MOTO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Na Mathias Canal, Wazo Huru Blog
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Jana Agosti 16, 2017 ametembelea na kukagua uwanja utakaotumika kwa ajili ya Mashindano ya ligi ya mpira wa miguu Wilayani Ikungi Mkoani Singida Maarufu kama “IKUNGI ELIMU CUP 2017”
Mhe Mtaturu akiwa ameongozana na Viongozi Mbalimbali katika Wilaya hiyo amezuru katika Uwanja wa shule ya Sekondari Ikungi ili kujionea Hatua za mwisho za maandalizi ya mashindano hayo.
Akizungumza na Mtandao wa www.wazo-huru.blogspot.com Mhe...
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI: MRADI WENYE FURSA KEDEKEDE WATANZANIA WANAPASWA KUZICHANGAMKIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Hivi
Karibuni, Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Yoweri
Kaguta Museveni wa Uganda kwa pamoja waliweka jiwe la msingi la Ujenzi
wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga Tanzania.
Katika Makala hii pamoja na mambo mengine Mwandishi Said Ameir wa Idara
ya Habari- MAELEZO anaeleza kwani nini mradi huu ni kipimo cha utayari
na ujasiri wa watanzania katika kuchangamkia fursa.
Mradi
huu unaojulikana kama Mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la...