Home » » MKAZI WA SINGIDA ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA TSH-MIL 200/- M-BET

MKAZI WA SINGIDA ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA TSH-MIL 200/- M-BET

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Msemaji wa M-bet, Goodluck Wambura(kushoto)Kaimu Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, James Mbalwe, Meneja wa bodi hiyo, Sadiki Elimsu,wakimshuhudia mshindi wa shilingi Milioni 200/- kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida,Kikuba Ramadhani akiwasomea waandishi wa habari(hawapo pichani)kiasi cha fedha kilichoandikwa kwenye hundi yake wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi yake mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja wa bodi ya michezo yakubahatisha nchini, Sadiki Elimsu(kushoto) Msemaji wa M-bet,Goodluck Wambura, Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, James Mbalwe,wakimpongeza kwa kumpigia makofi mshindi wa M-bet wa kitita cha shilingi Milioni 200, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 200 kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani,akiwa ameshikilia hundi yake wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi hiyo iliyofanyika jijini Dares Salaam mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 200 kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani(watatu toka kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na ndugu zake na mama yake mzazi(wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi hiyo iliyofanyika jijini Dares Salaam mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa