Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mmoja wa wazee wa Kimila wa Kabila la Wanyaturu, Mzee Semani Nyambia akimvisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, vazi la kimila (mgololi) ikiwa ni ishara ya kusimikwa kuwa mlezi wa Wanyaturu, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, SINGIDA.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015. katika hotuba yake, Mh. Lowassa amesema iwapo atapata ridhaa ya wananchi kuwa Rais wa Tanzania, ataanzisha viwanda vya kusindika zao la alizeti, ili wakulima wa zao hilo waweze kufaidika na pia atakabiliana na kero zote za Mkoa wa Singida kwa ujumla. Mh. Lowassa, kesho Septemba 14, 2015 ataendelea na ziara yake ya Kampeni katika Mkoa Shinyanga, baada ya leo kumaliza katika Mkoa wa Singinda, kwenye Majimbo ya Manyoni Magharibi, Singida Kaskazini, Iramba Mashariki na Iramba Magharibi.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa UKAWA kupitia CHADEMA katika Jimbo la Singida Kaskazini, David Djumbe, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, baadhi ya wagombea wa Udiwani wa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Singida Kaskazini, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini, leo Septemba 13, 2015.

Hawa wote wameahidi kuwapakura.
Vijana wa Ilongero wakifatilia kwa makini Mkutano huo.
Wananchi wa Ilongero, Singida Kaskazini wakifatilia kwa makini hotuba ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.

Wakiperuzi picha za Mgombea wao.

Kina Bibi Mkutanoni.
Furaha toka moyoni.
Mzee Msindai akizungumza.
Chopa ikitua.





















































Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.
Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Mwigulu
Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba
wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
MWigulu
NChemba akiwa na Wagombea wenzake kabla hawajajitoa kwenye mbio hizo za
kura ya Maoni ya kuwania Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya
CCM,Wagombea kuanzia kushoto ni Juma Kilimba,Davd Jairo Kitundu,Amon
Gunda na Mwigulu Nchemba.
Mwigulu
Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mbelekesye kuhusu mambo
mbalimbali ya Maendeleo aliyowafanyia ikiwamo kuwasha Umme Zaidi ya
vijiji 48 ndani ya miaka 5,Ujenzi wa maabara na zahanati kwa kila kata
,Ujenzi wa barabara za kuunganisha kila kijiji,Uchimbaji wa visima kwa
Zaidi ya Vijiji 50 n.k.Hivyo anaomba ridhaa ya kuendelea kuwatumikia
wananchi kwa miaka 5 ijayo.
Vijana
wakimshangilia Mbunge wao kwa kazi alizofanya hivyo kumuunga mkono
kwenye kura za maoni iliaweze kuteuliwa tena kuwawakilisha Bungeni kwa
miaka 5 ijayo.
Wananchi
wakiwa wamemshikilia Mbunge wao Mh.MWigulu Nchemba iliasalimiane nao
wakati wakura za Maoni.Mwigulu amekuwa akishangiliwa sana na Wananchi wa
Iramba na wengi wanaonekana kumuunga mkono kutokana na alivyoweza
kuibadilisha Taswira ya Jimbo la Iramba kimaendeleo na katika Sura ya
Nchi.