Mkuu
 wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza muda mfupi kabla msaidizi
 wa Waziri wa maliasili na utalii,  Helen Mtalemwa (wa pili kulia) 
kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya 
uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.
Msaidizi
 wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa 
shilingi 10 milioni  Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj 
Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo
 mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
0 comments:
Post a Comment