Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata  ya Dung’unyi wilayani  
Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi  35 kwa sababu za utoro, 
mimba  na ukosefu wa nidhamu.
  Mkuu wa Shule hiyo, Joseph  Kilinga, alisema wanafunzi hao walifukuzwa kati ya  mwaka 2010 hadi mwaka huu.
  Alifafanua kwamba katika kipindi hicho jumla ya wanafunzi  21 
walifukuzwa shule kwa utoro, wakati  utovu wa nidhamu uliwafukuzisha  
wanafunzi wanne na wengine watatu walifukuzwa kwa mimba. 
 Chanzo;Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment