WATU SITA WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI SINGIDA KWA KUKUTWA POMBE BANDIA AINA YA VIROBA VYA JOGOO NA KONYAGI.

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Linus Sinzumwa.Na Nathaniel Limu. Jumla ya watu sita wakiwemo wakazi wawili wa jijini Dar-es-salaam, wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Singida kwa tuhuma ya kupatikana na kiasi kikubwa cha pombe kali aina ya viroba vya jogoo/konyagi inayosadikika kuwa ni bandia.Watuhumiwa hao ni Hagai Mwalumile (38), Yusuph George (28), Geofrey Mushi (45) na mmoja mwenye umri wa miaka 17 ambaye bado hajatambuliwa jina lake.Watuhumiwa hao wote ni wakazi wa Mitunduruni mjini Singida.Watuhumiwa ambao ni wakazi wa jijini Dar-es-salaam ni Mohammed Rashid (42) na Richard Leonard (32).Kamanda wa polisi mkoa wa Singida...

DC AHIMIZA UJENZI WA MAABARA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; ...

SINGIDA KUENDESHA ZOEZI LA KUBAINI WANAONG’OA ALAMA ZA BARABARANI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; ...

WAZAZI WAKERWA NA ‘VI-MINI’ VYA WANAVYUO SINGIDA, WASHITAKI KWA DC

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; ...

AFUNGWA MIAKA 60 JELA KWA KOSA LA UNYANG’ANYI NA KUBAKA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; ...

SERIKALI YA SINGIDA YAZITAKA MANISPAA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA KATA.

Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi, akizungumza na wananchi wa kata ya Utemini manispaa ya Singida akihamasisha ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata na kujitambulisha. Diwani wa kata ya Utemini CCM jimbo la Singida mjini Baltazar Kimario, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya sekondari kata ta Utemini. Mkutano huo ulitumika kwa Mkuu wa Wilaya Mlozi kuhamasisha ujenzi wa maabara. Baadhi wa wakazi wa Utemini mjini Singida waliohudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mkuu wa wilaya ya Singida Queen Mlozi, kuhimiza ujenzi wa maabara. Mkuu wa wilaya ya Singida,mwalimu...

MBALI NA KASORO NDOGO MTIHANI WA DARASA LA SABA SINGIDA WAANZA VYEMA.

Na.Nathaniel Limu-Singida.Mtihani  wa kumaliza elimu ya msingi unaohusisha wanafunzi 27,749 wa darasa la  saba mkoani Singida umeanza kwa amani na utulivu licha ya  kujitokeza kwa kasoro ndogondogo.Miongoni mwa kasoro hizo ni pamoja na  utoro, baadhi ya wanafunzi kutojua  kusoma na kuandika na walimu na wasimamizi kulalamikia mfumo wa maswali ya kuchagua na kuweka vivuli.Katika  shule ya msingi  Mtisi  iliyopo umbali wa zaidi ya kilomita 24 kusini magharibi mwa mji wa Singida, wasimamizi  wa mtihani huo wamesema kati ya 34 watahiniwa nane (8) hawakufanya mtihani kutokana na utoro na wengine sita...

WAHAMIAJI HARAMU WATANO KUTOKA ETHIOPIA WANASWA NA POLISI MKOANI SINGIDA.

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Linus Sinzumwa akitoa taarifa ya wahamiaji haramu kutoka Ethiopia kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha).Picha na Nathaniel Limu.Jeshi la polisi mkoa wa Singida linawashikilia rai watano wa nchini Ethiopia kwa tuhuma ya kuingia na kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila ya kuwa na kibali.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Linus Sinzumwa, ameisema wahamiaji hao haramu, wamekamatwa septemba 18 mwaka huu saa kumi jioni wakiwa ndani ya nyumba ya kulala wageni ya Singida Modern iliyopo Kibaoini.Sinzumwa amesema kuwa rai hao ambao bado haijajulikana...

SACCOS 7 MKOANI SINGIDA ZAFANIKIWA KUPATA MIKOPO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.4 KUTOKA CRDB.

Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vyeti kwa viongozi wa SACCOS saba za mikoa ya Singida na Manyara. Vyeti hivyo vimetolewa na mfuko wa uwezeshaji (Wananchi Empowement Fund) baada ya SACCOS hizo kufanikiwa mikopo ya thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.4.Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt.Parseko Kone akikabidhi cheti kwa viongozi wa SACCOS ya Jipe Moyo ya kata ya Kinyangiri wilayani Mkalama.Katibu Mtendaji wa baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi Dk. Anacleti Kashuliza akitoa taarifa yake kwenye hafla ya kukabidhi vyeti kwa SACCOS saba za mkoa wa Singida na Manyara. Wa kwanza kushoto ni mkuu...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa