Home » » MBUNGE WA SINGIDA MJINI AWAPIGA JEKI WAFANYABIASHARA WA BODABODA SINGIDA.

MBUNGE WA SINGIDA MJINI AWAPIGA JEKI WAFANYABIASHARA WA BODABODA SINGIDA.



Mbunge wa jimbo la  Singida mjini (CCM) Mh. Mohammed  Gullam Dewji (kushoto) akimkabidhi funguo za pikipiki Katibu wa wafanyabiashara wa bodaboda mjini Singida Masoud Athuman. Wa kwanza kushoto ni Kamanda wa kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Singida Mohammed Likwata na mwenye kofia kapero ni Katibu wa CCM manispaa ya Singida Davi Mkude.
Dewji ametoa msaada wa pikipiki 10 aina ya Sanlag cc 150 ambazo ni za awamu ya kwanza kwa vikundi vya wafanyabiashara wa bodaboda ili ziweze kuviongezea mapato.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji akishiriki kutoa burudani sambamba na kikundi cha uhamasishaji cha kijiji cha Ititi. 
(Picha zote na Nathaniel Limu).

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa