Home » » HABARI MPASUKO; BASI LA ABIRIA LA MTEI LACHOMWA MOTO BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUUA WATU (3)

HABARI MPASUKO; BASI LA ABIRIA LA MTEI LACHOMWA MOTO BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUUA WATU (3)

Leo asubuhi basi la abiria  la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo. Zifuatazo ni taswira za basi hilo lililokuwa wakati na baada ya kuchomwa moto
Chanzo michuzi blog

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2011. Singida Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogz za Mikoa